Friday, 12 October 2012

Tattoos


Kumekuwa na wimbi la watu, hususan vijana, kupenda kujichora mwilini (tattoos). Tabia hii tulizoea kuiona zaidi kwa watu wa Ulaya na Marekani, lakini sasa inaenea kwa kasi hata miongoni mwa Watanzania. Je, chanzo cha tabia hii ni nini? Na kuna tatizo lolote kwa Mkristo kujichora hivyo?

There has been a wave whereby people, especially youth, make tattoos on their bofies. We used to see this among Europeans and Americans in particular, but now it is fast spreading among Tanzanians. What is the origin of tattooing?And, is there any problem for Christian doing this?
 

No comments: