Mijadala (Discussions)


Kama kuna swala ambalo ungependa lijadiliwe kwa mapana na marefu, usikae nalo, lilete hapa. Na wewe pia unahimizwa kutembelea ukurasa huu na kutoa mchango wako wa mawazo kwa mijadala utakayoikuta. Huwezi kujua, mchango wako wa mawazo, hata kama unadhani ni mdogo sana, unaweza kuwa wa thamani kubwa kwa mwingine.

Unakaribishwa sana. 

Kuona mijadala mbali mbali bofya hapa. 

If there is an issue you would like to have it discussed in length and widely, do not keep it to yourself, bring it here. You are also urged to visit this page and contribute your views to the discussions which you will find herein. You may never know your contribution, however small you might think, may prove to be so valuable to others.

You are most welcome. 

To see different discussions, click here. 

No comments: